Nashukuru kama wakubwa pia watalipa kodi. Lililokua linaniuma ni kuona wachuuzi wadogowadogo wakikimbizwa na mgambo wa jiji walipe kodi ya 500 au 1000, huku wakiporwa mali zao zinazowapatia chakula cha siku tu. Kumbe kuna waheshimiwa wanadaiwa bil of money.. this wasn't fair game..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.