Zitto kama anataka vyeo vya juu aangalie na umri wake. Yeye bado kijana ilmpasa asubiri maana waliopo hawatadumu milele kwenye uongozi. Ingefika tu zamu yake.
Hana jipya isipokuwa kununua kura kupitia misaada makanisani. Sidhani kama jimboni kwake kila shule ina walimu wa kutosha na vitendea kazi vya kutosha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.