Recent content by ngombemtotowandama

  1. N

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

    Hata ukimletea mbongo mkate atasema ni jiwe Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa sasa umefunuliwa, ni kuhusu T. B Joshua

    Mshana ,umenichanganya unasema huyu jamaa ni nabii,ila mbele unaonyesha sio ,tuamini IPI? Nijuwavyo mm watu Hawa hawajulikani kwa macho na akili za darasani ,tunawatambuwa kwa matendo na kwa Roho,aliponywa ndio anaye juwa ufake wake,pia hatuangalii MTU Bali Yesu mponyaji yeye anatumika tu kama...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuachiwa Ndege Canada: Lissu, Fatma Karume na Membe muombeni radhi Profesa Kabudi

    Ili niwe mzalendo ni lazima,nisihoji,nisiulize chochote,unidaganye,basi nitakuwa nimeitendea nchi yangu vema Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Meya wa Jiji la Arusha, Kalisti Lazaro ahamia CCM. Awashutumu CHADEMA kumkataza kutoa ushirikiano kwa viongozi wa Serikali

    Mwanaume wa Tz hawana msimamo ,unashindwa kuwa na msimamo,njaa tu
Back
Top Bottom