Alikua ni raia wa Marekani alizaliwa 18/5/1889 nchini Marekani. Alizaliwa akiwa na miguu mitatu na yote ilikua inafanya kazi alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili (2)
Shemu za siri za Kiume mbili na zote zilikua zinafanya kazi na alikua na jumla ya vidole kumi na sita (16) na...
Ndugu wanaJF,
Kama mnavyotambua kuwa kuna desturi ya makabila yanayopakana kuwa na utani au kuitana watani. Desturi hii imejenga ukaribu na ujirani mwema baina ya makabila husika.
Mfano: Wahaya huwaita Wajita watani wao (Sijajua ni kutokana na wote kuishi pembezoni mwa ziwa au vp). Wachaga na...
Dar es Salaam. Usajili wa taarifa za watu kwa mfumo wa kidigitali, umeanza kuibua wasiwasi wa usalama wa taarifa binafsi, hivyo kuibua hoja ya umuhimu wa kuwapo sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi na faragha nchini.
Hoja ya kutungwa kwa sheria ya aina hiyo, imepata nguvu hasa baada ya uamuzi wa...
Nadhani hata watu wanaowaajiri akili na uwezo wao kwenye taaluma na kazi ya Huduma kwa Wateja iko chini sana na yawezekana hata mishahara hawalipi vizuri au wanawatapeli pia maana hata huduma kwa wateja nayo ni ya ovyo
Ona sasa, huu ni utapeli wa wazi wazi. Tigo Tanzania unatuchosha wateja wenu kwanini mnatufanyia hivi? biashara inaendana na uaminifu sio hiki mnachifanya
Internet yao yenyewe ni speed ya kobe lakini now wanaongeza na wizi juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.