Recent content by ngola

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    siwaelewi kabisa hawa jamaa. mpaka leo kimyaaaaaa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    Hivi lakini kuna possibility ya kuingia bila refa ? Watoto wa wakulima hapo inakuaje? Tuombe mungu. Lakini nasikia kuna watu walishaitwa kimyakimya tarehe 15/08/2014
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi NSSF

    HIVI JAMANI WADAU HIZI AJIRA ZA NSSF VIPI? MBONA KIMYA SANA TOKA DEADLINE TAREHE 25/07/2014 AU NDO TAYARI WATU WAMESHAITW KAZINI? MICHAKATO YAO SIIELEWI KABISA LABDA KAMA KUNA MWENYE TAARIFA. NAOMBENI INFO :angry:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Interview za Good Neighbors International

    WADAU TUPEANE INFO JAMANI. ACHENI UBINAFSI :angry:
  5. N

    JamiiForums Tanzania Interview za Good Neighbors International

    Wada vipi? Hivi kuna mtu mwenye info kuhusu interview za good neighbors international shinyanga nafasi za operation officers. Wameshaita interview? Sina taarifa wadau
Back
Top Bottom