Swali langu ni kwamba hivi kwanini hawa wanasiasa wanataka kutuhadaa sana, je kama ni maoni ya wananchi kwanin walikua wanamkashifu mzee warioba wakisema takwimu zake sio za kweli? nakama yalikua ni maani ya wananchi kwann walikua wanamponda mzee warioba?nashanga na nashindwa kupata jibu sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.