Recent content by Ngiyemenya

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maswali haya ya interview

    Asante kiongozi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maswali haya ya interview

    naomba Majibu plz
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maswali haya ya interview

    Asante sana mkuu kwa majibu yako
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maswali haya ya interview

    naona kmya
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maswali haya ya interview

    Wana jamii naomba mnisaidie, kuna baadhi ya maswali nimekutana nayo kwenye interview nimeshindwa kabisa kulijibu. 1.unataka tukulipe shilingi ngapi? 2.kwanini tukuchague wewe baada ya wengine? maswali hayo tu wapendwa naomba msaada
  6. N

    JamiiForums Tanzania NIT registration ni tarehe 28 Nov

    wew ni f6 au diploma
  7. N

    JamiiForums Tanzania NIT registration ni tarehe 28 Nov

    hahaaaa kweli kiongozi yaani tusubili picha la kihindi
  8. N

    JamiiForums Tanzania NIT registration ni tarehe 28 Nov

    pouwa
  9. N

    JamiiForums Tanzania NIT registration ni tarehe 28 Nov

    ingia web yao utaona
  10. N

    JamiiForums Tanzania NIT registration ni tarehe 28 Nov

    Afadhali tarehe ya kuripot NIT 28 november 2016 manake kama kuandamana kuhusu mkopo watakuwa wameandamana sanaa na kitakuwa kimeeleweka. Kuona ratiba nzima, Bonyeza HAPA
  11. N

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    mimi bado cjajua kama nipo NIT but wameniambia selected lakin vyuo vyote tayari bado NIT BUT my no 0719-460455
  12. N

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

    Mimi mwenyewe niliweka first na second NIT na vyuo vyote wameshatoa bado NIT sas sijui vipi
  13. N

    JamiiForums Tanzania TCU and NACTE mnatuchanganya diploma holders

    yaani hata hamu sina ngoja tumwombe mungu tu lakini TCU & NACTE mungu anawaona
  14. N

    JamiiForums Tanzania TCU and NACTE mnatuchanganya diploma holders

    yaani mimi hatasielewi kwann wanatufanyia hivyi
Back
Top Bottom