Ngorongoro ambayo kuna watu takriban 87,000 inasadikiwa kuwa asilimia 3 ya watu wote wanamiliki mali na utajiri wote. Pinda hataweza kufanya lolote kusaidia asilimia 97 ya watu walio maskini wa kutupwa.
Ole Sendeka ameingia kwenye sakata hili kwa recommendation ya Kinana kwa sababu ya kelele zake bungeni na kwa sababu pia ni Maasai. Wanajua kuwa Ole Sendeka hataweza kupiga kelele na kupinga hoja ya OBC bungeni, lakini pia atatumika kushawishi wamasai watulie
TAKUKURU naomba muisome hicho kipande na mjiulize mtachukua hatua gani?
Important information for the Hon Prime Minister!
I just learned that you will be visiting Ngorongoro District this month of September and possibly talk about the land problems. As someone who has been there to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.