Recent content by Nginyai

  1. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Pole sana ndugu mana hilo la korosho tyr wanasema eti iko chini ya kiwango polen xana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Uckaze akili elewa then compare ,,,jiulze why tunawekeza projects kubwa wakat kuna ndogo zna hang? Ambazo hzo ndogo znazo hang tungezmalza zngetusaidia kuwekeza projects kubwa,,,u see nonsense Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Ndugu hatubaatish tunachokiongea bali ni utafit umehusishwa, na kwa muelewa ni rahc xn kuielewa BARUA hii. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Bila shaka hujanielewa, ww hayo unayoyaona lkn ukiamka ukatembea tz kuna seem utacktka xn kwa suala la miundombinu km barabara na Maji, ktk maendeleo huwa hatuanzii 3, 2 au 5 bali maendeleo ni gradual growth ambayo huanzia moja na c mbili a tatu. Sasa kwann cc tz tunaruka izi stage za mwanzo...
  5. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Sawa mkuu but hili ni suala pana hapo umeongelea seem ndogo xn, cjasema hamn faida but je wananufaika zaid ya 50% ya watu wa Tanzania? Km yes tupe uthibitisho . Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Kwanza ww mpk hapo ni shabiki, unaitwa team jpm, lazm ufagilie ya jpm ata km ni maovu but ckatai unayoyasema lkn ukweli upo pale pale nchi uchumi wake unazidiwa na Rwanda ambayo ni sawa sawa na ukubwa wa mkoa wa manyara, km ni kukuza utalii kwann tumedrop kutok 25 hadi 8? Hv umewah kutembea...
  7. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Acha iwe ivo cwez zuia matapishi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Ahsante kaka kwa kuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Una maana gani ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nginyai

    JamiiForums Barua maalumu kwenda kwa Watanzania

    Tanzania ni mojawapo kati ya nchi zinazopatkana kusini mwa jangwa la Sahara, Afrika ya mashariki. Ni nchi iliyopata Uhuru mwaka 1961 chini ya utawala wa Mwl.J.K.Nyerere. Ni nchi changa ukilinganisha na Marekani au Uingereza n.k. Nchi hii bado ni taifa linalotafuta mbinu za maendeleo, maana yake...
Back
Top Bottom