Recent content by Ngimwike Paul

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kuelimishwa, baada ya kufungua madai NSSF, Total Contributions inasoma Zero, Statement hakuna kitu

    Wakuu niaje?? Me mchakato wangu umeshapita kwenye hatua zote kama mnavyo ona hapo... Lakini Claim status bado inasoma approved na bank hakuna kitu, shida inaweza kua nn hapo?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Poa poa mkuu, ngoja tusubirie
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ukishaweka fingerprint kwenye madai ya NSSF ni muda gani itachukua kupata mafao?

    Wakuu me kwangu inaonyesha claim payment imetikiwa jana tarehe 22 October ila status bado na soma Claim approved na sms ya bank bado, shida inaweza kua nn hapo??
  4. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kulipwa hela yangu yote NSSF?

    Certicate holder nakuaje skilled kiongozi??
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kulipwa hela yangu yote NSSF?

    Usijali mzee, tupo pamoja
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naweza kulipwa hela yangu yote NSSF?

    Niliajiriwa kwenye kampuni binafsi kama tally clerk na baadae nikajifunza funza wakani badilisha position nikawa nafanya kama Data entry Clerk na jumla kazi nilifanya kwa miaka 5 Mwaka huu mwezi wa 6 mkataba umeisha na nikaamua kufungua madai nssf na kukamilisha mchakato wote na kutia...
  7. N

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Morogoro (Ofisi ya Madai mtandaoni) shughulikieni APPROVAL za wateja wenu

    Vipi ulishalipwa pesa zako mzee??
  8. N

    JamiiForums Tanzania Niliacha kazi bila kupata termination letter napataje Mafao ya michango ya NSSF?

    Maana nimeona wanasema wanataka na copy ya kitambulisho cha NIDA.. Na kama nimeishia form 4 na ni unskilled watanipa mpunga wangu wote??
  9. N

    JamiiForums Tanzania Niliacha kazi bila kupata termination letter napataje Mafao ya michango ya NSSF?

    Kiongozi niaje?? Kama sina kitambulisho cha NIDA ila namba ninayo vipi naweza kuhudumiwa??
Back
Top Bottom