Recent content by ng'etuke ng'imbile

  1. N

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    kwanza acha kunywa pombe pili fanya mazoezi tatu kula vyakula vya asuli..Tangawizi,mboga za majani,maboga,ndizi,mihogo,kitunguu saumu..n.k
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli?

    dah! ukiowa na kumzalisha ndo unaama chumba maana atakuwa anakwambia nilikuwa bize na mtoto
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli?

    weee kwenye wigi ndo balaa yaani unakuta nywele nyekundu vumbi tuuu.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli?

    dah!..ndo maana unaweza kuwa na demu kila ukimwambia nataka nije kwako utasikia "nipo kwa rafiki yangu"kumbe anaogopa tu kwake pachafu.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli?

    Me naona ni kweli kabisaaa!,,
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ni kweli?

    Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wasichana siku hizi huwa wasafi wanapotafuta wanaume, wakipata tu ni shida utajuta kumjua. NI KWELI?
Back
Top Bottom