Wakuu
Yan kwa tulipofikia kama nchi sasa hivi mtu(mwanaharakati) akikamatwa na polisi maombi yanabaki nyuma kwamba hasiuawe
yn mtu anakamatwa na chombo chenye dhamana ya ulinzi na usalama lakin watu wanapata hofu na mashaka juu ya uhai wake na afya yake kwa ujumla
hili jambo sio zuri kabsa...
Bila shaka ww ni mchaga
kwel mshua anazingua pakubwa sana ila kumsema et anakula sana wala sio unyama
kumbuka kakulea tang ukiwa 0 year mpk sasa una familia na unaish mambele
unajua ulipokua mdg ulikua na tabia gn ambazo hajawah kukwambia?
tafuta alternative ambayo haitomfanya ahisi unamtenga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.