Recent content by ngazime

  1. N

    Shigongo amvaa Tundu Lissu

    Watanzania tuamke... Kuingiza siasa tunapozungumzia maslahi ya Taifa nadhani ni Upumbavu Nampongeza Mh. rais kwa hatua anazochukua kwa wahujumu wa maliasili za Taifa. Wanaopinga.... Wapinge coz WAPo #br ney
  2. N

    Hata yale makontena tuliyozuia bandarini tutawalipa ACACIA tu, huu ni ukweli mchungu ila ni ukweli

    Duh.. Sikujua na wala sikutegemea Kama issue za kitaifa zinaweza kujadiliwa kwa itikadi za vyama (BAVICHA... UVCCM), bora mkatike vichwa. Hili ni suala la kitaifa tuache ushabiki wa kijinga.... Binafsi nampongeza rais kwa uthubutu wake ktk hili, coz sasa tumepata sehemu ya kuanzia ktk...
Back
Top Bottom