Wadau habari zenu nina tv 2 zimekaa tu ndani naziuza zina hali nzuri naweza sema ni kama mpya. Hiyo ya inch 21 ni singsung nyuma ina chogo lkn mbele flat stand yake yakuzunguka inatakiwa laki na nusu na hiyo inch 18 ni kama hiyo kubwa lkn yenyewe inatakiwa laki moja. Kwa yeyote anicheki kwa...
Naombeni ushauri jamani nipo kwenye ndoa nina mwaka sasa natafuta mtoto na mke wangu imekuwa ngumu,nimepimwa sperms zipo poa na yeye kapigwa ultrasound yupo poa, mpaka najiuliza labda tunakosea kujua siku za hatari zakushika mimba,naombeni ushauri na kujuzwa siku za hatari.
Wadau naomba msaada nina simu yangu SAMSUNG WAVE 3 GT-S8600, Ni simu kali lkn haikamati internet,fb, na whatsap naambiwa hamna nimeenda mpaka vodashop wananiambia haiwezi kuwa na program hizo naombeni msaada wadau ninapoweza kuelekezwa kwa wataalam zaidi kwa msaada yani ninaipenda sana simu hii...
Wadau naomba ushauri kuna gari nataka kununu aina ya CARINA SI YA 2001 CC 1762 wataalam naombeni ushauri service,spare,ulaji mafuta na mengine ushauri wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.