Recent content by ngaro

  1. ngaro

    Lema: Arusha hakuna CCM

    Jamani naomba niseme hivi October 2015 sio mbali ila ukweli lazima usemwe.. CHADEMA wanao uwezo wa kushinda Arusha bila hata kampeni na huu ndio ukweli
  2. ngaro

    Zitto Kabwe, uwezo wako wa kisiasa katu hautakwisha kwa kuenguliwa, taifa linakuhitaji

    Mwigulu huna maaana.., wewe ni mmoja wa washirika wa kumrubuni kijana wa watu sasa yamemkuta mnaleta huruma zenu...nasema mchukueni akalete mabadiliko katika chama chenu cha mafisadi ambao mnashindwa kutoa adhabu kwa wezi wa mali za umma hadi wanaonyesha kiburi
  3. ngaro

    Serikali: Tanzania haina haki miliki ya jina la Mlima Kilimanjaro

    Mkuu uliza ujibiwe., Kenya airways inatua KIA tena kuna baadhi ya siku inatua mara mbili
  4. ngaro

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Sipendi kutukana lakini kwa hili wacha niseme.,, Polisi wa Tanzania ni pumbavu sana.,, mnakubalije kutumika kipumbavu namna hii na kuandaa sinema zisizo na kichwa wala miguu.? Polisi mnatumika kisiasa il kuzuia makongamano ya katiba mpya., mikutano ya vyama vya siasa .,, nk
  5. ngaro

    Mwanza International Airport Kumaliza Utata na Kenya

    KLM inatua kwanza KIA kisha baadae inaenda Dar
  6. ngaro

    Mwanza International Airport Kumaliza Utata na Kenya

    KLM inatua kwanza kia kisha baadae unaenda Dar
  7. ngaro

    Hatua za haraka zichukuliwe kuokoa jahazi la utalii mabasi kuzuiwa Kenya JNIA

    Kuna uwanja wa KIA serikali inachotakiwa sio kufuta land fees bali ni kupunguza.,, kuna ndege kubwa zinatua pale ila hazikai kwa sababu ya gharama.. Pale KIA kunahitaji mabiresho.,, uwanja ufanyiwe marekebisho KIA kuwepo na hoteli hata moja ya kitalii ya kisasa Gharama za getini kuingia...
  8. ngaro

    CHADEMA kutumia busara kutatua mgogoro ACT.

    ACT ni kampuni flani ya kubweka hapa Tanzania.,, hawana la maana zaidi ya kulia lia tu
  9. ngaro

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kwa taarifa yako, ushindi wa mezani wa magamba ulipangwa ...katika mapingamizi zaidi ya 2000., mapingamizi yaliyo halali hayazidi 500..hivi unajisikiaje kuona Ngara ambayo ilikuwa Magambani kwa zaidi ya asilimia 90 mwaka 2009 na sasa hivi Magamba wana asilimia 10 ...kushangilia ni haki yangu
  10. ngaro

    Kikwete atakuwa USA kuanzia Alhamis ijayo

    Huyu Rais wetu atakuwa anasomea URUBANI..kila dakika angani ..asipojua kuwasha ndege na landing gear basi professa wetu atakuwa basi tena..
  11. ngaro

    Nadhani mliokuwa mnashangilia kipindi kile Kusini tulipopigwa na Serikali ya CCM sasa mtatuelewa

    Yaani leo BIG SHOW umetoa madini hivi ujiulizi kwanini akina Msalani, laki si pesa na wengine hawapo humu? Umezungumza ukweli mtupu..leo umezungumza ukweli CCM ndio laana tulionayo watanzania jaribu kutoa elimu hasa kwa watu wa vijijini hawajielewi mtu akipewa elfu mbili na gongo anauza...
  12. ngaro

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Sawa MM2 tumekuelewa...vipi chama kipya mikutano mbona hatuoni..? Nasikia makao makuu yatakuwa Mwandinga..
  13. ngaro

    Uchaguzi ngazi ya taifa kuna mpasuko

    Asante kwa taarifa MM2 vipi mnaendeleaje huko na mpango wenu wa kukieneza chama cha Kigoma..tena Mwandinga makao makuu...?
  14. ngaro

    Mh. Rais, bila shaka utakuwa unaifahamu vizuri historia ya Farao

    Sikiliza wewe Gamba.. hivi ulishawahi kwenda kwenye chumba cha mtihani ukijua kwamba mtihani ni Chemistry lakini ukiingia unakuta Biology..sasa ndicho kilichopo bungeni.. Kwa taarifa yako Gamba tayari vifungu muhimu vimetolewa kama kumwajibisha mbunge kabla ya miaka 5 kumalizika
  15. ngaro

    CCM ni imara, hakiyumbishwi na UKAWA na maneno ya magazeti

    Sawa ...nasikia tuna ka mpango wa kufufua kesi za kigaidi stiker akiwa Mchange...na ww unatoa assist
Back
Top Bottom