Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

Huu ujinga wa CCM na serikali yake haulisaidii Taifa hata kidogo.

Inapofikia CCM na serikali kwa kulitumia jeshi la polisi kutengeneza matukio ya kigaidi kwa nia tu kupata uhalali wa kuzuia mikutano ya vyama vya upinzani, tunajiuliza hii CCM kweli ni chama cha siasa au chenyewe ni kikundi cha kigaidi? Hivi hii serikali yetu inaongozwa na watu wa namna gani?

Pamoja na tamaa ya CCM kutamani sana kubaki madarakani, mbinu hii na zile.za kushambulia, kujeruhi na kuua watu wanaohudhuria mikutano ya vyama vya upinzani siyo mbinu inayokubalika hata kidogo kwa jamii iliyostaaribika.

mimi nawashangaa sana humu jf.watu wana comment kama sio wasomi.nn maana ya great thinkers.hiv ccm wafanye kwa lipi na kwa kumuogopa nan hasa.mbona mnafikir kutumia makalio.
 
Nairobian

toka mwanzo nlichokifikiria hapa naona serikali wanawaita al shabab kama hawajijui lema alishasema bungeni chagonja haamini kama igp kateuliwa chikawe,mangu, na chagonja wanajua hizo sabotage wala hawajakanusha akaendelea kusema polis wanazungukana kumhujumu mangu.
 
Last edited by a moderator:
.....haya yanatokea TZ ni sinema tu ya hollywood....hakukuwa na ugaidi Tanga...porojo za kisiasa za waswahili wa kitanzania.
 
toka mwanzo nlichokifikiria hapa naona serikali wanawaita al shabab kama hawajijui lema alishasema bungeni chagonja haamini kama igp kateuliwa chikawe,mangu, na chagonja wanajua hizo sabotage wala hawajakanusha akaendelea kusema polis wanazungukana kumhujumu mangu.

Yale maneno Lema aliyasema Bungeni tena kwa uwazi kabisa, lakini ajabu sio msemaji wa Polisi, IGP mwenyewe au Chagonja aliyepata kutokea na kukanusha juu ya jambo lile. Kwa vyovyote lina ukweli ndani yake na wanaogopa kujibishana na Lema maana pale Bungeni alikuwa na dakika 10 tuu, sasa ukiendeleza malumbano atapata muda wa kutosha kufunguka na kuibua mengi. Wameona bora wanyamaze tuu.
 
attachment.php


Hivi yaliyopigwa mizinga na kusambaratishwa hivi ni yale mapango ya Amboni mashuhuri kwa shughuli za kiutalii? Kama ni kweli basi hatuna majeshi, maana walipaswa kutumia mbinu muafaka za medani kuyanusuru!
NAOMBA KUJUZWA!

Mkuu, mapango ya Amboni ambayo hutumika kwa utalii yapo kama kawaida. Magaidi walikuwa kwenye mapango tofauti na yale ya utalii. Kama mwenyeji wa Tanga, hawa jamaa walijificha kwenye mapango ambayo ni kama mashimo yapo karibu na njia panda ya kuelekea kijiji cha Mabokweni, wakati mapango ya utalii yapo kijiji cha Mafuriko. Umbali kati ya mapango hayo ni kama 5 hadi 8 km hivi.
 
Very funny hivi kweli kamanda wa polisi anaweza kumjibu/kujibizana na mbunge akiwa mjengoni akiwa na kinga????
 
inasumbua humu jf kuna watu PANYA ROAD wanasumbua vichwa wanadai eti hayo mapigano ya amboni ni filamu lakini ukifatilia habari unasikia askali wamejeruhiwa mwingine ameuliwa sasa hawa wanaosema eti ni mchezo wa kuigiza hao watu hatari sana mara wanasema askari wanawachonganisha waislamu na serikali.
sasa tunaomba sauti ya serikali itamke kuna nini huko amboni?
 
Sifa nyiiingi wakati hawajamkamata mtu, wameishia kutobolewa tumbo tu
Ukiwa shambani kulima inawezekana pia ukachomwa na miiba na hata jembe likakukata. mkulima makini havai suti shambani. Kuchafuka kupo maana unapambana na adui waliomo shambani humo. Sio senema za kimarekani ambazo daima askarui wa marekani wanaua lakini wao hawauwawi na ikitokea ni wachache lakini wenyewe wanaangamiza maelfu. Ile ni vita kuna kuuwawa au kuua.
 
Waulize ccm mkuu BBC na CNN naona wameanza kugusia watatupa full mkanda to . security ya Chadema iko kazini nayo itatupa full mkanda.

swissme
 
.... walijificha kwenye mapango ambayo ni kama mashimo yapo karibu na njia panda ya kuelekea kijiji cha Mabokweni, wakati mapango ya utalii yapo kijiji cha Mafuriko. Umbali kati ya mapango hayo ni kama 5 hadi 8 km hivi.

kama ilitumika mizinga kufumua mapango hayo...na kwa umbali huo, basi mapango ya Kitalii yasiruhusiwe kutumika kwa shughuli za kitalii mpaka uimara wa mapango hayo uchunguzwe na wataalamu. Kwa umbali huo kunauwezekano mkubwa uimara wa mapango hayo umepungua kiasi cha kuhatarisha usalama wa watalii na wafanyakazi.
 
Nimefuatilia hii thread na kujaribu kulinganisha kinachoendelea na yanayotokea huko Somalia, Nigeria, Mali, Libya nikajihisi kushituka sana.
Leo asubuhi nikasikiliza Radio One wakimuomba Kamanda Chagonja kulitolea ufafanuzi hili swala na ndipo nikajihisi kuchanganyikiwa zaidi.
Kuchanganyikiwa kunatokana na wale wanaosema kuwa hii ni 'episode no...' huku nikitegemea majibu yaliyo mazito kwa 'majambazi' waliosimamisha majeshi kwa zaidi ya saa 48 huku askari mmoja akipoteza maisha lakini bila kuuawa au kukamatwa kwa 'jambazi' au siraha hata moja!

Sina uhakika kama mimi pekee ndiye sielewi kinachoendelea au kuna wengine pia!
 
Nimefuatilia hii thread na kujaribu kulinganisha kinachoendelea na yanayotokea huko Somalia, Nigeria, Mali, Libya nikajihisi kushituka sana.
Leo asubuhi nikasikiliza Radio One wakimuomba Kamanda Chagonja kulitolea ufafanuzi hili swala na ndipo nikajihisi kuchanganyikiwa zaidi.
Kuchanganyikiwa kunatokana na wale wanaosema kuwa hii ni 'episode no...' huku nikitegemea majibu yaliyo mazito kwa 'majambazi' waliosimamisha majeshi kwa zaidi ya saa 48 huku askari mmoja akipoteza maisha lakini bila kuuawa au kukamatwa kwa 'jambazi' au siraha hata moja!

Sina uhakika kama mimi pekee ndiye sielewi kinachoendelea au kuna wengine pia!

Mkuu hauelewi nini?
Wewe ni mgeni na serikali ya CCM
Hii serikali inaweza fanya nyekundu ikawa nyeupe
Hapa watu wan set mazingira ya kuwatisha watu ...kumbuka this is 205
Mazuio yatakuja mengi sana kwenye mikutano ya Kisiasa
 
Sipendi kutukana lakini kwa hili wacha niseme.,,
Polisi wa Tanzania ni pumbavu sana.,, mnakubalije kutumika kipumbavu namna hii na kuandaa sinema zisizo na kichwa wala miguu.?
Polisi mnatumika kisiasa il kuzuia makongamano ya katiba mpya., mikutano ya vyama vya siasa .,, nk
 
Back
Top Bottom