Ila hawa jamaa usanii mwingi vinginevyo hadi kufikia sasa wangekuwa wamepiga simu au kutoa taarifa za kuomba radhi.
Ukiingia katika portal uao sasa hivi, basi hilo linaonekana limejaa( na siti yangu ikiwemo) na pengine liko safarini!
Biashara kwa kiroba tu!. Na hawa wasukuma nao wapo wa kutosha ndani ya basi, bila shaka mapori yaliyokuwa yakitumika kama maficho ya majambazi, yamekwisha.
Mkuu.
Hongera yaelekea ni mwenyeji wa maeneo haya.
Hata hivto, chukua maneno yangu, kukamilika kwa barabara ya Kigoma Nyakanazi na ujio wa SGR,hao wababe watabaki historia
Tuko Katoro sasa
Najiuliza hivi kwanini abiria wa njia hii wanasagiri na mizigo mingi hivi.
Huyu jiranii yangu kaingia na kiroba cha dagaa, harufu yake sio mchezo.
Ni Jumanne saa 4 asubuhi unahitaji kusafiri siku inayofuata ya Jumatano August 14,2024, ķutoka Mwanza kwenda Kigoma! Unaingia katika mtandao kutafuta usafiri.
Jina la kampuni maarufu inayofanya safari zake njia hiyo, linakuja Adventure. Unaamua kufanya Adventure kwa kutumia mabasi yao...
Majuzi Jaji Warioba kaeleza ukweli kuhusu vyombo vya habari na waandishi Tanzania. Ni Machawa, Wenye vipindi kuhusu familia na kutenga muda mwingi kujadili mambo yasiyolisaidia taifa.
Inasemwa wajibu wa vyombo vya habari ni kuhabarisha, kuburudisha na kuelimisha. Sasa tazama au sikiliza...
Ndugu.
Wakati mwingine huo unaoitwa utawala wa sheria hutumiwa na wajanja kupindisha maamuzi ili kupendelea upande mwingine.
Tatizo hapa ni uongozi wa wilaya kukaa kimya kana kwamba hakuna kilichotokea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.