Kama mtu unahela namba hzo apo chukua nicheki kama unaona mi tapeli unavunga ila biashara inafanywa face to face unakagua mzgo ukiridhia unauchukua usiporidhia sio lazima maana wabongo bhana
Uongo ndio coz na mimi nilikuwepo kwenye hiyo lecture tena lecture ya family law na membe aliingia alipotoa mfano wa matrilineal society akatoa mfano membe ni jina la mama yake na pia Mkapa...usidhani upo peke yako huku unaesoma LL.B third year...uache unafiki na uongo na unatudhalilisha na...
Bei mbili mbili zipi mkuu...hiyo ni iphone 5s ile nyingine niliyopost ni iphone 5...imetumika kizungu means bado ni mpya na haina tatizo lolote kama unaihitaji unaletewa unaiangalia na kukagua kla ktu had utakaporidhia usiporidhia tunasema tumeshndwa kuafikiana...sio mbabaishaji na kama upo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.