Guyz vipi kuhusu waliomaliza form six mwaku huu kuhusu kusoma diploma kwenye guid book zao hakuna ya sehemu ya kuhusu diploma ya higher education ni in primary tu ndo zipo vp hapo dungu zangu
Nambona ukiangalia kwenye vyuo vyao vinavyotoa diploma ya ualimu vina dili na ordinal diploma in primary(in service) and ordinal diploma in primary(service) na hakuna diploma in secondar
Hivi wanaoenda kuchukua diploma ya secondary kwa form six wanatakiwa kuwa na sifa zipi au ndo hyo GPA na unaipata vp kwa mtu wa form six....plz msaada jaman dungu zangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.