Ndugu Ngongo mbunge wetu Ngara aliwahi kuwa Katibu mkuu wa utumishi, Ndugu Rutanga aisee kweli wewe umenisikitisha sana hivi wewe pole kwa kuwa na chuki moyoni kiasi hiko kwa mbunge wetu, hivi hiko kiharusi ulimpa wewe? pleease hizo sala zako za kumuombea mbunge wetu zishindwe katika jina la...
hivi ndugu mwakyembe hawezi kuitwa mzee, au what is your definition ya mzee? naona ume misquote maana ya mzee, mimi nina maana mzee ni mtu mzima yeyote
Dotto ni CCM, ni kweli ndugu mwana ukweli, lakini ninavyomfahamu mimi ni mtu anayelaani ufisadi na alikuwepo serikalini pia lakini hakujihusisha na ufisadi. Hivyo cha muhimu ni kumuombea asaidie kuleta maendeleo ya Ngara ili na wana Ngara waweze kufarahia matunda ya watoto wao kama wilaya...
Napenda kuwapongeza wana Ngara kwa kutumia vizuri haki yao ya msingi kumchagua mzee wetu mpendwa ndugu Deogratias Ntukamazina. Tuna uhakika mzee huyu atatumika vizuri kuleta maendeleo ya Ngara na taifa kwa ujumla.
Mungu ibariki Tanzania.
Ndugu wana Jamii Forum, habari za kwenu. Jamani nimesikitishwa sana na hii habari ya mbunge wa Ngara kwamba ni mgonjwa mahututi, hivi mnataka tuelewe kwamba hizi habari za humu ndani hazina uhakika? Mimi nikiwa mtu wa karibu na mzee Ntukamazina tumesikitishwa sana na hizi habari za uzushi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.