Recent content by ngamkai

  1. N

    Kumbe Diamond ana nyodo kiasi hiki

    Kama ni suala la kubadili wanawake, hivi haufahamu kuwa Hata Ali Kiba nae ana watoto wanne tena wote sio wa mama mmoja, je hiyo haimaanishi kuwa na yeye anabadilisha wanawake? Kwanini Ali kiba kama ni msanii mkali hamshindanishi na wasanii wengine wakubwa hapa Tanzania? kwann kila thread...
  2. N

    Msaada tafadhari kwa anayejua hili

    Ndo maana nikasema kwa anayejua anisaidie, sasa kama we umeishia Form four unajibu nini hapo.??
  3. N

    Msaada tafadhari kwa anayejua hili

    Wakuu naomba mnifahamishe hili, Mtu ambaye amesoma Degree ya BAED yaani Bachelor of Arts with Education, anaruhusiwa kufundisha kwenye vyuo vya ualimu? maana niliwahi kusikia kuwa hawaruhusiwi. Asante kwa wote mtakaoshirikiana nami katika kunidadavulia hili.
  4. N

    Anachokifanya diamond mida hii

    Sasa ndugu yaan unaonekana hujielew kabisa, kinachonisikitisha kuna watu wamekuwa wakiona wenzao ndo wanakosea zaid kuliko wao, kama wewe umeona Diamond hafai kufuatiliwa kwanini umekua ni miongoni mwa watu walioisoma hyo Post na kucomment wakati unajua kabisa kwa kufanya hivyo na wewe utakuwa...
Back
Top Bottom