Recent content by ngamba 099

  1. ngamba 099

    Zitto Kabwe ambwaga Tundu Lissu

    Hongera mkuu ,Kazi za zito kipofu wa akili hawezi kuziona. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ngamba 099

    Fatma Karume amshtaki Polisi aliyemzonga Mahakamani, adai fidia ya bilioni moja

    Polisi alikuwa anatekeleza majukumu ya Kazi yake Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  3. ngamba 099

    Kwa hili la kuwaita wapinzani vilaza, simuungi mkono Rais Magufuli

    Ndio ni vilaza we huoni hata siasa zao wanavyoziendesha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ngamba 099

    Je, kimantiki ACT Wazalendo ni chama kikubwa kuliko CHADEMA?

    Kachanganyikiwa huyo hajitambui. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ngamba 099

    Je, kimantiki ACT Wazalendo ni chama kikubwa kuliko CHADEMA?

    Act huwezi kukilinganisha na vyama wachumia tumbo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ngamba 099

    KISUTU, DAR: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani Kisutu, akosa dhamana

    Wapi hijab siasa si mchezo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ngamba 099

    Askofu Dallu: Marufuku shule za kanisa katoliki wanafunzi kuendelea na masomo baada ya kupata mimba

    Kwenye escrow walikaa kimya ! au kwa sababu baadhi zilipita katika taasisi hiyo, Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ngamba 099

    Wakili Fatma Karume kuhusu kilichojiri polisi dhidi ya Lissu

    Huyo mama akawawekee dhamana mashekh wa uamsho, kaama kweli sheria. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. ngamba 099

    Who conducts background check/vetting kwa viongozi wa kisiasa (CUF)? Kwa Kingwendu walichemsha

    Mimi nafikiri mtoa mada hajitambui Sent using Jamii Forums mobile app
  10. ngamba 099

    TANZIA Jaji Mstaafu wa mahakama Kuu, Upendo Msuya afariki dunia

    Jamani mbona kajiuzuru juzi tu!;au ndio kusema.......L I P jaji wetu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ngamba 099

    Kauli ya Zitto inakinzana na kauli zake za nyuma

    Inategemea kipindi gani tulikuwa nacho wakati huo,na sasa tuko katika kipindi gani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. ngamba 099

    TANZIA: Waziri Mwakyembe afiwa na Mkewe Linah Mwakyembe

    Poleni sana familia ya waziri wetu wa michezo mungu awape nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. L I P familia ya michezo Tanzania. Post sent using JamiiForums mobile app
  13. ngamba 099

    CHADEMA: Maigizo ya Ngeleja hayana tija kwa Taifa, ni 'utakatishaji wa fedha' haramu za ESCROW

    Kaazi kweli kweli Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
  14. ngamba 099

    Mwanza: Rais Magufuli atinga uwanjani ghafla kwenye mechi kati ya Buhongwa vs Nyamwaga

    Magufuri lazima awe na ulinzi mkubwa sana maana Kazi anayoifanya wengi ina wachoma, mafisadi,wauza madawa ya kulevya wala rushwa,wahujumu uchumi a k a ruge +hambindanda wanaweza hata ku .......taasisi ya urais.
  15. ngamba 099

    Halima Mdee(Mb, CHADEMA) akamatwa na Polisi. Apelekwa Oysterbay...

    Ukifanya siasa kwa kutafuta kiki no hatari sana
Back
Top Bottom