Mmeshindwa kumiliki ardhi huku bara ambayo zimejaa Tele! Mnataka kumiliki ardhi Zanzibar ambayo nayo haiwatoshi wao! Kweli hiyo ni akili. Njoo Kisegese wilaya ya Mkuranga mkoa wa wani - ekari moja laki mbili! Utakataa ila unataka upate ardhi Zanzibar! kweli huo ujanja? Niambie ni Msukuma yupi au...
Mbona watu mna kuwa na mihemko isiyokuwa na maana..? Sikia haya: Ubalozi wa Vatican umeonya watu wanao vamia kiwanja chao Dodoma: Kanisa Katoliki limemega eka 10 na kujenga nyumba kutoka kwenye shamba lao lenye eka elfu sita!
Bakwata imekwenda mahakamani kudai shamba lake huko Moshi: mwekezaji...
Hao wakina Azory, Saanane ni sehemu ya statistics ya Lumumba, Sankara, Stive Biko, Kanyama Chiume, Tongongara, Josia Mwangi Kariuki, Chris Hani, Olof Palme etc.
Hawazuii nchi kusonga mbele!
Hapo mleta mada alikuwa anakuelewesha wewe kwamba kuna viongozi wengi wanaotenda au kutamani kutenda kama JPM! Yaani JPM alikuwa kiongozi mwenye maono " Yasiyoyumbishwa" na alijua anataka kufanya nini na kwa sababu gani! Ni hilo, nafikiri sasa umeelewa - jitahidi.
NDC ni nini? Au ni National Development Corporation? Kumbuka siyo kila mmoja atajua hivyo vifupisho vya majina! Unapotoa vifupisho jaribu kuweka Kirefu chake kwenye mabano!
Ozone layer ipo juu angani kwenye Stratosphere, hapa tulipo sisi na ulipopasema kwamba India kuna ukungu watu hawaonani, ni sehemu inaitwa Troposphere. Uchafuzi wa troposphere, ni nadra kuingia kwenye stratosphere.
Sasa katika stratosphere kwenye OZONE LAYER - oxygen molecules zina react na UV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.