habari zenu wakubwa naombeni ufafanuzi kuhusiana na tatizo hili kwamba mgonjwa huanguka na kupoteza fahamu mara kwa mara pasipo kupata dalili zozote kama kuumwa kichwa sana au kizunguzungu kabla ya kutokewa hujikuta yeye ni mtu wa kusimuliwa tu kama umepoteza fahamu umeanguka yaani mgonjwa baada...
Hapana sio ujinga hapa tupo kwaajili ya kuelekezana na kupeana faida kama mtu hatumii lugha nzuri ya stara ni haki yetu kumuelewesha mkuu. Nadhani ungesoma last coment tena kwa umakini nahisi ungefahamu nimekusudia nini.
Maneno yako sahihi mkuu anaebisha mwache abishe lakini ukweli ndo huo na utabaki kua hvyo tu
Shaitwani ana nafasi kubwa ya kumtia maradhi binaadamu hata vitabu vyote vinatuambia.
Maneno yako sahihi mkuu anaebisha mwache abishe lakini ukweli ndo huo na utabaki kua hvyo tu
Shaitwani ana nafasi kubwa ya kumtia maradhi binaadamu hata vitabu vyote vinatuambia
Mara nyingi matatizo haya husabishwa na sheitwan.
Sheitwani huyo humpa mtu usingizi mzito na kusababisha baadhi ya mishipa ya fahamu (nervs) kushindwa kudhibitiwa na ubongo wa kati (sereblum) hupelekea baadhi ya valvu aina ya (sphincter) kuruhusu kupitisha kitu pasipo idhini ya mawimbi ya...
kuna sababu nyingi zinazopelekea kuvimba miguu zikiwemo kuziba kwa mishipa(vains blockage) presha kuwa juu kwa muda mrefu (high blood pressure) uchafuzi wa damu na unato wake kiujumla (blood viscocity) kushindwa kupitisha damu kutokana na kusinyaa kwa mishipa ya miguu (legs vain elasticity)...
pole sana ndugu yangu ila kama ingewezekana ungeenda kuchek zaid ukapata kujua the main couz and then tungesaidiana ktk kupeana ushauri wa matumizi ya dawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.