Yapata miaka mingi tangu Mzee MBUGI kuwaaidi wananchi wake kuwa atawajengea barabara, madarasa kwa wanafunzi, vituo vya afya na kuzuia vifoo vya mama na mtoto pia Mzee MBUGI alienda mbali zaidi nakusema endapo akipata nafasi ya kuwa mwenyekiti wakijiji atahakikisha serikali inawapa kipaumbele...
Jamani kwasisi ambao tunaandika script lakini kupata sehemu za kupeleka iliwaandaaji wa filamu wazipokee nichangamoto.
Kwaiyo Mimi binafsi naomba kama kunamuandaaji wa filamu ANATAKA script au idea ya hadithi (TAMTHILIYA) mimi ni nayo namba email yangu ni neemamwanzela@gmail.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.