Recent content by NewPage

  1. N

    JamiiForums Tanzania Hela ndiyo kila kitu bhana, Rostam anadhihirisha hili!

    Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then...
  2. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Emmanuel Nchimbi anachemshwa sana sana!

    Jamaa statements zake nyingi zinamtoka sio za moyoni kabisa. Hata alivyokuwa anaongelea swala la maridhiano unaona kabisa sio sauti yake huyu jamaa. CCM mtandao unamtumia vibaya sana, yaani ni kama alivyofanywa Lowasa. 2030 utaona akina Januari Makamba wanarudi kwenye peak na yeye kutupwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania JK MRISHO katrend zaidi kwenye Uzinduzi!

    uone nini
  4. N

    JamiiForums Tanzania JK MRISHO katrend zaidi kwenye Uzinduzi!

    Kampeni zimenogeshwa sana na hoja ya JK ya kupangua hoja za wachukia CCM. Kwa sasa CCM yetu ni hoja za wenye chuki binafsi tu ndiyo zinatutesa. Tukiweza kuzipindua hizo basi tunashinda vizuri sana sana. Ukizingatia tulishatoa baiskeli, boda boda na hata wagombea uRais wa vyama vinavyotupinga...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Kwa moyo wake mkubwa TAL atambakiza
  6. N

    JamiiForums Tanzania Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    100% kukifanyika reforms
  7. N

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Kumbe Regia aliwahi sema hivyo!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Rais wa nchi yetu!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Kwani Mwigulu ni mwepesi - acha maneno hayo kaka!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya. Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Mara ya mwisho kukuona Singida pale Shelui!
  12. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Tindo, Habari ya wapi siku hizi? Long time asee!
  13. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Tehe tehe!
  14. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM tunavyojimaliza wenyewe ndani kwa ndani!

    Ila mimi sio mhuni ndugu
Back
Top Bottom