Hata watu wasirya walipo taka kupigana na Elisha Bwana aliwapiga upofu. Kwa hali hii hata magamba hawataelewa wamepigwa upofu wasione M4C itakapo pita na CDM washinde 2015
Umoja huu wa Mbowe na Slaa na jinsi walivyo jipanga unawanyima magamba usingizi. Ni imani yangu na nahisi ni kweli kabisa kuwa katika vikao vya CCM vingi ni jinsi ya kusambaratisha chadema badala ya kutumia siasa kukabiliana na kasi ya chadema ama upinzani. Kwa hili CCM haina budi kulaumiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.