Hizi hapa meza za tv za kijanja
Tsh 90,000 tu free delivery dar
Tsh 115, 000 mikoani pamoja na gharama za usafiri malipo Ni baada ya mzigo kukufikia
24hrs - 72hrs
06584570
Sijakupata mkuu
Ila management Ni moja ya Jambo muhimu katika kukuza biashara na kampuni yoyote
Na Mfumo Ni moja Jambo muhimu katika usimamizi Bora
Hata uwe na mtaji mkubwa kiasi gani bila usimamizi kwa Mfumo mzuri kampuni lazime ifeli
Ukihitaji jumla pia mkuu tunakutengenezea bila shida
Tumejaribu kuweka mazingira ya kila MTU kuweza kutumia Mfumo kwa gharama ndogo kabisa
Ukihitaji jumla Kuna gharama za WAKATI mmoja
Au
Mkataba wa kulipia kidogo kidogo kwa awamu
Lakini
Kumbuka kuna gharama ambazo utalipia pia kila Mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.