Pep kaleta copy tu ya mpira wa Barcelona EPL wote wamekuwa vibonde,je Catalunya wakijitenga na Barcelona wakaja EPL itakuwaje...,EPL timu zake zinauwezo sawa(yaani uwezo mdogo) ndio maana mnaona kunaushindani tofauti na ligi zingine ambazo zinatimu zenye uwezo mkubwa na mdogo.
Habari,
1.Sajili kampuni ya micro credit -Brela
2.Pata TIN TRA
3.Pata Leseni ya kukopesha-Wizara ya viwanda na biashara
Baada ya hapo anza kukopesha na utakuwa na haki ya kumfilisi mteja anayeshindwa kurejesha mkopo.Ukifanya kienyeji utapoteza pesa zako maana wateja wengine wataacha kulipa...
FAIDA ZA KAMPUNI:
1.Kodi inatozwa kwenye faida utakayopata.
2.Makadirio ya kodi utafanya mwenyewe.
3.Inatambulika kisheria(legal entity).
4.Kama una hasara hutakiwi kulipa kodi.
5.Ni rahisi kukopesheka kama biashara iko vizuri.
6.Baada ya December kukamilika utaandaa mahesabu ya mwaka ( kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.