Recent content by Nestory Msigwa

  1. Nestory Msigwa

    JamiiForums Tanzania Jana Leo na Kesho, mstari mrefu wa mafanikio kwa mtanzania

    Wasalaam aiseh Mr Michael Mkwanzania@, mada yako imenivuta na kunivutia sana haswaa mpangilio wa mada,matukio nk. Lakini yote ya yote waswahili wanasema, "mwenye mali hana akili na mwenye akili hana mali " hivyo ni wakati sasa wa kila mmoja wetu kutambua uwepo wake duniani maana hakuna...
  2. Nestory Msigwa

    JamiiForums Tanzania Fursa katika kilimo cha viazi lishe, tuchangamkieni upesi

    Aiseh calculator ni tamu sana kwakuiangalia ikiwa na mahesabu ya makisio matharani ma figure ya sufulisufuli yakigeuka kuwa reality basi unaweza ukaamka ukizani umekuwa tajiri kumbe ilikuwa ni makisio ya JF uliokuwa umeota ndotoni
  3. Nestory Msigwa

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Habari za kazi wakuu naomba kufahamu jinsi ya kulima ukwaju
  4. Nestory Msigwa

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    If you can't fight them, join them!.
Back
Top Bottom