Recent content by Nestor enos

  1. Nestor enos

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna unafuu wa kodi kati ya biashara hizi?

    Niambie nje ya awamu hii. Nataka kujifunza tu.
  2. Nestor enos

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna unafuu wa kodi kati ya biashara hizi?

    Naomba kuuliza, kati ya biashara inayoendeshwa kwa mfumo wa kampuni na iliyo nje ya mfumo wa kampuni, ni ipo yenye unafuu wa kodi na Kivipi?
  3. Nestor enos

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

    Yes kijana
  4. Nestor enos

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

    Forex ni nini?
  5. Nestor enos

    JamiiForums Tanzania Namna gani naweza kutengeneza pesa mtandaoni?

    Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha kodi IFM, Naomba kufahamishwa tu ni jinsi gani mitandao au internet kiujumla inaweza kunisaidia kutengeneza pesa na sio kuwa vyanzo vyangu vya udaku?. Natumia internet kwa sana, hivyo naamini naweza kushiriki biashara ya mtandaoni kutengeneza pesa.
Back
Top Bottom