Kama umetumia mwendokasi leo asubuh,utagundua vituo vingi watu wamesafiri bure.Basi kutoka kwa chanzo cha kuaminika ni kuwa wakatisha tiketi wamegoma kwa sababu ya kutolipwa salaries na pia madereva wanapanga kugoma kesho.Sisi wa mbezi na kimara sijui itakuwaje.Serikali tafadhali ingilieni hii...
NO EVIDENCE ,NO RIGHT TO SPEAK, TUNAKOSEA SANA WATZ KTK KUHUKUMU TAARIFA ZA AWALI, YUKO WAPI MASAMAKI NA WENGINEO....TUNAPENDA SANA KUAMINI BREAKING NEWS KULIKO HABARI KAMILI. THATS WHY TUNACHEZEWA SANA NA PROPAGANDA ZA WANASIASA WETU....LETS THE LEGAL SYSTEM PROVE THIS
Kwa robo ya kwanza mwaka huu, Deni la Taifa limeongezeka kwa zaidi ya Sh. 12 Trilioni na kufikia takribani sh 60 trilioni, Ripoti ya Benki kuu inaonesha. #Mwananchi
Utaratibu wa kurenew line ktk kampuni ya Airtel sijui nyingine no tabu kwani kuna mzunguko mkubwa ambapo utatakiwa uende jeshi polisi kupata ripoti ya upotevu ambapo pia ni kizungumkuti kwani mfano kituo Oysterbay Police unakuta unarudi nyumbani just kwa sababu risiti hakuna.
Na pia ukifuata...
Nimetoka katika ofisi za NSSF Ilala kwanza msongamano mkubwa huduma ni polepole na mpaka sasa umeme umekatika takribani dk 20 kuelekea ishirini na haujarudi.
Wateja wanajiuliza vipi "backup" jenereta au mafuta yameisha kwani huduma zimesimama na hewa ni nzito.
Ni aibu kwa kweli kwa Serikali...
"Kupeleka ubalozi Jerusalem kunapingana na maamuzi ya Baraza la Umoja wa Mataifa, kwamba hii ni sehemu ya mgogoro mpaka mgogoro wa Palestina na Waisrael utakapofika mahali panaporidhisha ndipo watu tunaanza kufikilia kwenda kule, kwenda kule kichwakichwa tu kutakua kwanza unavunja makubaliano na...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk Hussein Mwinyi ameziagiza familia za askari waliouawa wakilinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kumaliza haraka taratibu za mirathi.
Pia, amesema Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo amekwisha kuunda Baraza la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.