Recent content by Nesi1

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    tabora na uyui wamegawana zote wenyewe
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    watu kimya maafisa wamegawana pesa zote kimya kimya
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    umewapigia simu kuwauliza?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    uku kimya
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    tatizo nini au ndo maafisa utumishi wanachukua tozo?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    naona tabora uyui wote kimya?
  7. N

    JamiiForums Tanzania NHIF Tabora ni jipu

    NHIF mkoa wa Tabora wanasumbua sana wafanyakazi wanaongoza kwa kuomba rushwa, pia wanalazimisha na mwenza wake awe namba ya NIDA Huu mfuko tunauchangia lakini masharti yamekuwa mengi lakini kila mwezi mnachukua pesa
  8. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    maafisa utumishi wako kimya wanasubiri mlungula
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    huku kwetu hawatoi taarifa yeyote
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    haya mzee wa 10%
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    wapi imeandikwa kama confidential?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    mbona unabwabwaja? confidential nini?! mbona hayo mabarua yapo watasap
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    katika dunia ya sasa kuna mtu hawezi sajili kwwnye hazina portal? au na wewe umetega nyavu?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    hii ni rushwa tena rushwa haswa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

    njooni huku mjibu hoja
Back
Top Bottom