Recent content by neshika

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

    Leo wamefunga April 17 FM wa Iran alitangaza opening naona chess game linachezwa vizuri maana leo imetangazwa imefungwa tena ,usa kagoma kutoa blockade yake baada ya SOH kufunguliwa naona imepigwa pin tena na sasa completely nothing moves kasoro iran armed forces
  2. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Iran wanaiogopa MOSSAD

    🤣🤣 umefall in kwa propaganda na psychological warfare chess game inachezwa vizuri.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

    Kwa kuwa lengo la kutumia kadi ya Hormuz imefanikiwa .
  4. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani kushindwa vita mashariki ya kati, Israel haitaweza tena kujilinda

    kwa kweli bei hizi za mafuta nimeshanyooka ila kama unamaanisha iran vs usa na israel USA atapata political and symbolic victory ila muiran atapata strategic victory kwa hio wamenyooshana .
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Netanyahu anaendelea kutambea mitaani lakini viongozi wa Iran wanajificha sana tofauti na wanavyoongea mbele ya maiki hawaogopi kufa ?

    Kiuhalisia kwenye hii vita kila mmoja anasilaha yake best weapon ya israel ni targeted assasination kwa hii ni world super power watatumia kila kitu hususani vifaa vya technologia na ndio maana kwa sasa viongozi wakuu wa iran wanatumia kuandika kama njia ya mawasiliano any electrical device...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Trump kupiga block kwenye mlango wa Hormuz, ni kite iliyosukumwa vizuri

    Kweli Iran alicheza kadi ya Hormuz na bado kaishikilia na usa amecheza kete ya gulf of oman blockade na ameishikilia ila iran bado anayokadi nyingine hajacheza bado huku ulaya inatangaza in next 6 weeks ndege zitakuwa hazina mafuta iran wamebuild resistance economy nchi ambayo raia million 25...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani kushindwa vita mashariki ya kati, Israel haitaweza tena kujilinda

    Technically usa ndio anajiharibia kwa kuwa anapozuia meli za iran na iran anazuia meli zote zisipite end of the day energy crisis and the blame on Trump althougn muiran anakila kitu na uwezo wa kuchallenge the blockade amabpo technically ni kuacha blackade iendelee kwa mwishowe ni international...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya Marekani kushindwa vita mashariki ya kati, Israel haitaweza tena kujilinda

    Ukweli Mchungu ni kuwa Iran amepata sehemu ya kuweza kuiwekea sanctions usa ni pale Hormuz hii blockade ya Trump ni kutapa tapa tu kwa kuwa na red sea ikifungwa basi kwisha habari yao hawata weza kupigana Yemen ,Iraq Iran na Lebanon hili chase game gumu bora haka kablockade Trump atembelee humo...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

    Hii blockade haiwezi last a week ngoja bei ya crude ipande
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ni mjinga pekee anayedhani America itaondoa bases zake middle East na kumuondolea vikwazo Iran

    Kiu Kiukweli iran ishakuwa taifa kubwa kwani kwa sasa anauwezo wa kuwawekea vikwazo waliokuwa wanamuwekea yeye vikwazo the war imewapa leverage kubwa na kuwaongezea nguvu na pia imewaonyesha tool mpya ya kuweza kuzibana nchi za ulaya zilizokuwa zinamuwekea vikwazo kiufupi hapo mwanzo alikuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Marekani wakishindwa kuimiliki Hormuz wafanye juu chini waizamishe Oman baharini hata kama WW III itaanza

    Hata akizamisha huo mlima bado upande wa pili meli bado zinakutana uso kwa uso naentire iranian coast line diplomacy tu wakubaliane yaishe kuwa iran nae ni mtu mzima mwenzie aendelee kutunyanyasa sie huku tusioweka kipaumbele kwenye engineering,maana kabisa huwezi shindana na coastal defence...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Usitishaji vita uko karibu kuvunjika, Iran inajiandaa kuitenga Israel katika mchakato wa mazungumzo kutokana na shambulio dhidi ya Lebanon

    Hii pekee inaipa ushindi Iran wa kihistoria na akiendelea na tozo vikwazo vinakuwa havina impact wakipress nae anapress na pengine inawezekana akichaji kwa pesa yake basi hela yake ikapanda thamani na pia inamuongezea uwezo maradufu wa kuheshimika. From nuclear talk to please open Hormuz .
  13. N

    JamiiForums Tanzania Ni mjinga pekee anayedhani America itaondoa bases zake middle East na kumuondolea vikwazo Iran

    Tujulishe hivi fifth fleet naval base bado ipo ??? Watu wameibamiza naval fleet imerudisha kwao usa ngumu kushindana na adui anayejitengenezea silaha mwenyewe.
Back
Top Bottom