Recent content by Nervousity

  1. N

    Kiongozi Bora Tanzania kwa mwaka 2017 ni Rais Dr John Magufuli kwa mtazamo wangu!!

    KWANI TANZANIA TUNAO VIONGOZI WANGAPI WA NGAZI YA RAIS ILI TUSEME RAIS MAGUFULI AMEKUWA NI KIONGOZI BORA KWA MWAKA 2017? UMEMSHINDANISHA NA RAIS YUPI WA TANZANIA KWA SASA? Kweli kazi ipo!
  2. N

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    How comes a Soma maandiko matakatifu kwa upana utaelewa tu!
  3. N

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Kwa hiyo serikali inataka kupambana na taasisi za Mungu?
  4. N

    Rais Magufuli awasilisha fomu zake za rasilimali na madeni Tume ya Maadili, viongozi watakaochelewa kukiona

    How can we excel to industrial development economy if we embrace trivial issues?
  5. N

    Rais Magufuli awasilisha fomu zake za rasilimali na madeni Tume ya Maadili, viongozi watakaochelewa kukiona

    Kujaza fomu za maadili ni hitaji la msingi kwa viongozi wa umma, Rais ni kiongozi wa umma; hivyo anapaswa kutekeleza takwa hilo la kiutumishi. Hakuna cha ajabu kinachokuwa kimefanywa na mtumishi awaye yote kwa kutekeleza hitaji hilo; hivyo ni wajibu wa Rais kama mtumishi wa umma kufanya...
  6. N

    Mch. Francis Mbalase: Kama mnajua kuombewa mjue pia na kutubu

    Hata shetani ana wafuasi, waacheni wenye kushabikia watawala dhalimu kwa unafiki na maslahi waje kushuhudia nguvu ya Mungu aliyepo na atakayepo! Mwisho wao u jirani. "They are sowing seeds of their own destruction"
  7. N

    Rais hajakataa kukosolewa lakini njia zitumikazo kumkosoa ni za hovyo

    Namna ya ukosoaji hutegemea anayekosolewa ana-haiba gani (behaviour). Ikiwa rais wetu hatajenga mazingira ya kuheshimu anaowaongoza na kujishusha kwao bali kutumia madaraka kama fimbo ukosoaji hauwezi kuwa wa staha! Haiba ya mtu ndio hutoa taswira ya alivyo na namna ambavyo watu wake hupaswa...
  8. N

    Hebu tumuache Rais Wetu naye apambane na Hali yake

    Kila kiumbe kwa namna yake kina namna yake ya kukabiliana na mazingira yake ili kujihakikishia uzima na maisha (Survival na Sustainability). Katika kufanya hivyo kiumbe hujikuta katika mgongano na viumbe wengine ambao na wao kwa namna yao wanapambana kujihakikishia uzima na kuishi. Kumbe lengo...
  9. N

    Rais hajakataa kukosolewa lakini njia zitumikazo kumkosoa ni za hovyo

    Nimeshindwa kujua kwa haraka uelewa wa mleta uzi huu lakini nishauri kitu kimoja hapa! Enzi hizo za ufalme hapakuwahi kutokea mfalme akawa na kofia mbili; yaani mfalme na kuhani wakati huo huo bali mfalme alifanya kazi yake ya utawala na makuhani wakafanya kazi ya Mungu. Kimsingi, mamlaka yote...
  10. N

    Dhana ya Kuchanganya Dini na Siasa kwa Mwanga wa Biblia

    Ikiwa mamlaka yote hutoka kwa Mungu, viongozi wetu wa awamu ya tano wamepata mamlaka hayo kutoka kwa Mungu yupi? Ikiwa viongozi hawapendi kusikia wanakosolewa hata na viongozi wa dini amabo wanafanya kazi ya Mungu je, wanamtumikia Mungu yupi? Yehova au Baal! Hakika ugumu wao wa shingo utawafanya...
  11. N

    CCM na Serikali ni Wamoja?

    Kwani hoja ya kiserikali hutakiwa kujibiwa na nani? Na hoja ya kichama je? Kwani mwanachama wa CCM anayo hadhi ya kuwa msemaji wa serikali hata aweze kuijibia serikali? Vipi serikali yaweza kuwa msemaji wa chama kwa upande mwingine? Vijana wenzangu wa Kitanzania tutaliangamiza taifa letu kwa...
  12. N

    Tetesi: Mkakati wa kumsimamisha Paulo Kinondoni wabuma, hofu ni pingamizi la jina mahakamani

    Mungu pekee atainusuru Tanzania! Nina uhakika kwa asilimia kubwa kwa kadiri ya imani yangu na kwa Mungu ninayemwamini. Nchi haiwezi kupiga hatua yoyote ya maendeleo yenye kugusa maisha ya watu wanaoitwa wanyonge kwa kutumia rasilimali adimu hizo hizo kurubuni wawakilishi na viongozi wa vyama...
  13. N

    Ulaji Dr. Slaa: Magufuli anazidi kuthibitisha ni Rais wa wote, mwenye huruma na anayejali. Dr. Shika kuteuliwa?

    Hii ni shida kweli!!! Mie nashauri wana if tuwe rational! Alichokifanya Mheshimiwa rais siyo sahihi na wala haitakuja tokea akawa sahihi! Umahiri wa rais haupo katika kuteuwa wapinzani bali katika kuwa balanced katika behaviour yake. Mie siafiki uteuzi huo!! Tusishabikie udhaifu
  14. N

    Elimu ya Tanzania katika karne ya 21

    Ili Tanzania iendelee inahitaji kuwa na maprofesa wangapi? Hawa wachache waliopo wana mchango gani?
  15. N

    Elimu ya Tanzania katika karne ya 21

    Kumekuwepo na 'slogan' nyingi zinazotumika katika kutanabaisha umuhimu wa Elimu kama vile: Elimu ni ukombozi! Elimu ni kazi! Elimu kwa maendeleo! Elimu ni juhudi na maarifa n.k. Hii yote inalenga kuonyesha ni kwa kiasi gani elimu ni muhimu katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Miaka...
Back
Top Bottom