alafu wapiga kura wa Kitwanga wanakuja na sababu eti video inayoonyesha Kitwanga amelewa emetengenezwa na studio za bunge,,, na kulitaka bunge limuombe msamaha mbunge wao,,, wangekuja na matamko ya suluhisho wanataka "bunge live" ili kuzuia kutengenezewa video za kuwazalilisha wabunge wengine.