Shida VIONGOZI WANAKUA madalali wa wananchi badala ya KUSIMAMIA mali za wananchi.haingii akilini upate FAIDA ndogo kwenye biashara yako halafu ufurahie hapa kichachofanyika kuna viongozi maabwenyenywe nao wana hisa zao humo kwenye 83.
SAWA MPUMBAVU namba moja duniani. Hata Yale makombora yaliyoifanya Israel Kuwa Gaza hayana madhara ndio maana marekan na Israel ameruhusu Iran kua nayo
Israel Hana silaha za kuichakaza Iran mpaka amiliki anga mbinu kubwa aliokua anaitegemea uhasi ,Yani mashambulizi kutokea ndani yapige ulinzi wa anga kisha yeye apate nafuu kweshambulia kwa ndege, sasa Iran aliposhtukia tu ule mchezo mchafu bc akawadaka wote na kufunga mipaka huku akimshushia...
Watu wanashindwa kujua Israel wanamsifu , Israel anatumia mbinu ya magaidi Yani anavizia anapiga kwa kushtukiza kipindi unajipanga ye anaendelea sasa Ikiwa silaha zako unategemea kununua kwa wamagharibi ndio pale unasikia cku 3 kaahinda ila Hawa uwezo wa KUSIMAMIA vita na Iran hata kwa mwez1 tu...
Hajielewi huyu hivi Israel walivyo makatili na kupenda vita wamiliki anga la IRAN wangeenda kuomba MSAADA KWA marekan aingilie wapigane pamoja, angeomba kusitisha vita kwa cku 12 tu haoni Gaza mpaka leo yupo tatizo lake ye kuutwa yupo BBC
Sasa useme wewe mkristo kwa hao unadhan wanahusika na ukristo? Hao wanamtambua NABII Musa tu ndio wa mwisho hawamuamin Yesu au ISSA kama ninyi mulivyokua hamumtambui Muhammad na ndio maana wakapanga kumuua Yesu ni hao wayahudi
BREAKING | Iran's Supreme Leader to the Iranian nation: My congratulations on our dear Iran’s victory over the US regime. The US regime entered the war directly because it felt that if it didn’t, the Zionist regime would be completely destroyed. It entered the war in an effort to save that...
Propaganda za wapenzi wa Taifa teule baada ya kupokea KICHAPO kizito ndio wanataka kuficha AIBU Yao kwa taarifa za kuzusha , Khamminei cku ya kusitisha mapigano cku ya pili yake alihutubia Taifa live
KUIFANANISHA IRAN NA TANZANIA NI UWENDAWAZIMU WA KIWANGO CHA JUU HATUNA UWEZO WA KUMILIKI HATA RADA YAO MOJA YA ULINZI BADO HATUJAZUNGUMZIA KOMBORA MOJA YA HYPERSONIC, KIFUPI WAO WANATENGENEZA SILAHA YA KUTUMIKA NA NCHI YA DUNIA YA KWANZA .WAMETUZID KIELIMU ,KIUCHUMI, TECNOLOJIA, USHAWISHI ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.