Recent content by Nengale

  1. N

    Msaada: Nimefanya mapenzi na mwanamke Condom ikapasuka. Nimepima majibu yamekuja hivi

    Mkuu kama ni kweli ulivyosema kwamba sasa hv yametimia masaa 50 tangu ule tunda kimasihara na umepima upo negative. Ulitakiwa uanze kutumia PEP( post exposure prophylaxis) kabla ya masaa 72 hayajapita. Nenda kituo chochote cha afya palipo na kitengo cha CTC then utapata muongozo Mzuri zaidi...
  2. N

    Huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa

    Kila la kheri mkuu, naimani utaenda kufanikiwa.....cha msingi tu ni kiziba masikio kwa watakaokukatisha tamaa
Back
Top Bottom