👆Mwongo wewe shule zetu kiingereza kilianza kufundishwa Darasa la Tatu sio la kwanza na naamini wafanyakazi wa Immigration walikuwa wanajua kiingereza vyema Ndio maana ho wa Nigeria waliweza kuwaelewa vyema. Binafsi nna uzoefu na Hawa mapopo kwanza hawaga aibu na kuongea kwa kisha our our as if...
Wao Chadema wanamuita Shushushu wa grade one ndani ya chama, bilashaka Kubenea na Komu ndiyo wanavuliwa uanachama leo. Kasema huyo shushushu wa grade one maana yake kasema Mbowe Mbowe.
Bujibuji target sio CCM, nafikiri kuna haja ya kutoka nje ya box ili tujipe nafasi ya kujiuliza na kutafakari kwanini ni Rufiji tu? Nani yupo nyuma ya mpango huu dharimu? Kwanini wanauwa ? Ni nini mipango yao mkakakati katika kuyatenda hayo? Pia hapa tunajadili uhai wa mtu, je ni sahihi kweli...
Zk wa Serikali inunue Richmond, ZK wa Tunaharibu uhusiano wetu na China kwasababu tu, uamuzi wa kukopa pesa Exim Bank of China umebatilishwa!? Leo kadandia issue ya Ndege tena amesahau kwamba alituambi hata hizi bombadier ni used. Siwezi kuwa Na ubongo wenye malyenge katika kutambua hili. Zk ni...
Akili za kuambiwa changanya na za kwako, sio kila ukitumwa unatumika tu kiraisiraisi, hata mtumaji atapata shaka juu yako ya kuwa siku moja utamgeuka. wakati fulani ni vyema mtumwa ukatumiaakili yako vyema ili kujenga imani hata kwa anaye kutuma kutenda jambo kama hili ililolitenda hapa.
Sikubaliani na wazo la kuufunga mtandao huu, mwenye kutoa hilo wazo naye anabinya katiba, mitandao yote duniani kisheria ya "cyber laws"hazinaga ujanja wa kukataa kutoa information kwa ajili ya usalama wa Nchi. Maxmelo anapaswa kufanya hivyo kwa mujibu wa cyber law yetu. Mkipata muda ipitieni...
Shame on us, discussion yetu imekosa uzalendo kabisa, tunajali maisha ya Dalali mmoja ambaye anatishia kupoteza ajila za ma elfu ya Watanzania!
Hii si sawa kabisa hata kama una chuki na Rais kwa itikadi ya Chama chake au vip. Suala la uchumi ni mtambuka ,halina itikadi wala chama. Tuache unazi...
Ni mvivu wa kufikoria tu anaweza linganisha Ethiopia Airway na Air Tanzania. Ushauri wa bure kukaa kimya kwa mambo tusiyoyajua ni busara. Sisi watanzania vyama vyetu vimetutoa uzalendo kabisa. Hivi uaanzaje kukejeli jitihada za Serikali yenu kulikwamua shirika la ndege lenu lililo taabani...
Mawakala wa Tanzania wezi sana, hawana uadilifu hata kidogo, ni wanyonyaji kabisa na ikiwezekana Nassaco irudi tu. Wamekuwa wakiwaibia wafanyabiashara kwa kigezo cha maofisa wa TRA kuomba Rushwa, hawa ni mawakala la Rushwa na sio forodha. Katika kila container moja analotoa la mfanyabiashara...
Dar siasa mbaya sana hata Radio nazo mnazishutumu? Kabla ya kutoa shutuma hapa ungejilizisha na policy ya Radio One then ukapost thread yako. Unaweza ukapewa notes na mwenyenyumba wako ukaja na thread ya namna hiyohiyo hapa. No research no right to speak.
Watanzania bure kabisa sisi, kila kitu tunafikiria ki siasa tu. Nchi aiendeshwi hivyo, tunaanza kuwa na negative attitude na Ndege zetu na tuna publisise kwenye media bila kuangalia athari zake! Tunafikiri Wakenya au Waganda watakuja kusifia vya kwetu! Huu ni umaskini wa fikra kwelikweli na kama...
Kazi kweli kweli hata majina manne imekuwa issues kiasi hichi, Ben sanane dadavua mambo badala ya kuyaacha hewani na ni vyema ukaja na ushahidi wa hicho unacho maanisha hapo juu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.