Recent content by nelson kavuta

  1. N

    Mpenzi wangu ana wivu sana

    We utakuwa umedata....si umetuambia kuwa wewe ni wanne au??? Hiwe ameachwa au kaacha.....hilo ndio tatizo shekhe....fanya niliyokushauri and you will be just fine ok.
  2. N

    Mpenzi wangu ana wivu sana

    Hilo sasa ndio tatizo....alishatendwa na wengine 3 ndio maana anaishi na wewe kwa wasiwasi.....nenda naye polepole na ujitahidi kumuaminisha kwamba upo tofauti na hao waliotangulia....kumuaminisha na si kumuelewesha.....kwa kuanza tu achana na hivyo vimeo vyako viwili....kumbuka huyu...
Back
Top Bottom