Recent content by Negy

  1. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa namsubir apate moja tu
  2. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kaka hv ushaandaa mkeka..maana nasubr wa kuruka nao na mm nitembelee bahati
  3. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    C nimejaribu kuweka treni yani timu ya kwanza chali..na nimekaa kitako cha uchunguz ila wapi...sijui nakwama wapi.
  4. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Acha nikushangilie ili pindi ingine unipakulie upepo wako kaka...
  5. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asante man yan daaah..sawah bhan
  6. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hata hii inataka kugoma jamani mbona nakosa hv?
  7. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kweli kabisa sema tunapotezea tu..wakubwa wafanye kudhubutu tu..uone tutakavyofaid maisha kila siku elfu kumi hatuishi kweli???
  8. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah wapendwa hv tukitengeneza odds 10 kila siku c tutakuwa hatukosi za vocha asee maana napigwa mmi ila naona viongoz mko sawa sana ase[emoji1666][emoji1666]
  9. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hongera!! Nisaidie na Mimi kaka Leo nimkamue..maana ni kama wiki mbili hivi sipati kitu.
  10. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapendwa Mie mhindi kama anabifu na Mie.. nipeni hata timu tatu nimle nifurahi plz.. Kila cku lazima kuna mwanga mmoja anachana nikomboeni asee Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Asantee Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Leo.... [emoji26][emoji12]yani Jana nimekamuliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Negy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nawapata wapi hawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Negy

    JamiiForums Tanzania Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

    Kama wale wanaoishi uswaz rangi tatu,tandale...nao wako mjini eeeh....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mikoani wakati mwingine ni mjini zaidi ya mjini?hatuji Dar kupunguza population
  15. Negy

    JamiiForums Tanzania Nimemwona Wema Sepetu, nimeshangaa kwanini tuna mu-Over rate sana

    Kwanini mabishano????kwani uzuri au ubaya wake...unatusaidia nn cc??au kuna ukundi kundi hapa...kuponda kiumbe cha Mungu ni dhambi.
Back
Top Bottom