Recent content by neemaanjela

  1. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Bulayo katangazwa lini na wakati alishinda viti maalum?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu,Kampeni Meneja wa Magufuli nimeogopa

    Pia kumbukeni mwigulu nae anagombea jimboni kwake iramba hawezi kuacha mlango wazi mbuzi wale mtama kiurahisi kwake nae atakuwa bize la sivyo atapigwa na Jesca kafulila a.k.a tumbili.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzindua kampeni za UKAWA

    Ajiandae kutubu nini kakuchukulia mke ?kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu .pole slaa yuko fiti kufunga magufuli yote na kumwaga pombe zote.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nape atoa siri ya kujiuzulu kwa wanaojiita CCM

    Kweli hapo umenena hawataki kabisa kusikia kitu kushindwa wakati umefika hakuna namna .
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Ni kweli au ni maneno tu jamana mbona nasikia lowasa hana wapenzi Dar ?ana watu wachache ?ila siamini kama anaweza kosa watu time will tell.
  6. N

    JamiiForums Tanzania hivi Lowasa alipata kiasi gani cha kura Monduli

    Ni jembe kwako na familia yako huku kwetu kawaida sana mkuu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameanza kuishi kwa uwongo na udanganyifu!!

    Kalela tu maana huna nyimbo nzuri watanzania wa leo hatudanganyiki tena.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Hongera sana josephine kwa kuwa mkweli naomba tu umtie moyo dr slaa arudi tunampenda sana sana huu mwaka ni wamabadiliko lazima slaa awepo kwenye mabadiliko haya.
  9. N

    JamiiForums Tanzania SAY YES to LOWASSA,Wote wapenda mabadiliko tujoin hapa

    Why not lowasa ?
  10. N

    JamiiForums Tanzania SAY YES to LOWASSA,Wote wapenda mabadiliko tujoin hapa

    Yes we can .
  11. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Sio itv wanakata ni wenye nchi lakini haisadii mungu ni mwema anaona kila kitu .ccm wameishiwa mbinu wanatapatapa tu .wasubiri goli la mkono walilozoea.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Hongera kamanda lema wananchi bado tuna imani kubwa sana na wewe.
  13. N

    JamiiForums Tanzania NEC-ITV wameanza kumkampenia Firikunjombe

    Firikunjombe yuko makini kuliko wabunge wote wa magamba ana uwezo mkubwa na maono yuko vizuri atapita bila kupingwa huyo.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Hiyo funika mbovu .mpaka kieleweke mwaka huu.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: I don't see Lowassa crossing over from CCM to join with UKAWA

    We unaongea nini siasa haina uadui wa kudumu wala urafiki wa kudumu uko nchi dunia gani wewe usiejua haya mambo .pole mwaka huu kitaeleweka tu.
Back
Top Bottom