Recent content by neema zako

  1. N

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Wadau ni kwel hii si sawa, anataka kutumia system iliyopo kumrudisha tena kwa miaka 15 Madarakan (haon burundi kukoje) OLUOCH ACHA TAMAA MWAKA HUU NI LETU MOJA NI KUKUNYIMA KURA ZETU NA KUKUTOA. UMEZID KIBURI, JEURI NA DHARAU NA CHOYO. SASA UPUMZIKE WALIMU TUMECHOSHWA NA MATUSI YAKO FB NA...
  2. N

    Tuhuma dhidi ya Oluoch - CWT Taifa

    Mh Ezekiah Oluoch umetia fora kwa kuwa kiongozi wa kwanza kufikishwa polisi kushtakiwa kwa lugha zako za matusi,kejel na dharau tangu kuanzishwa kwa CWT november 1993, Hakika wewe kiboko, inatakiwa uingizwe kwenye ktabu cha maajabu ya historia za dunia na ujeur wako utakoma mwaka huu
Back
Top Bottom