Recent content by Neema ya BWANA

  1. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Mimi si tapeli ndugu yangu ushindwe kwa JINA LA YESU. Kuhusu hayo mengine mimi sijui, ninachojua mimi #tunatakasiasazamaendeleo
  2. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Mimi ni Mwanajamii, Mtanzania na Mzalendo, si Mwanachadema wala Mwanaccm hivyo chochote kinachohusu Maendeleo ya Jamii ndicho ninachokipigia kampeni na wala si msimamo wala mtazamo wa chama fulani.
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Ni kweli sikatai kwamba hapitii magumu najua anapitia magumu na si yeye tu wapo wengi sana wanaopitia mambo mazito hayafai hata kueleza, ila ninukuu maneno yangu; muda wa MUNGU haujafika ukifika kila kitu kitakuwa sawa haijalishi ni kupitia Rais au mtu yeyote yule.
  4. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Sasa ndugu yangu unadhani MUNGU Anashindwa kumsaidia mtu yeyote? Akitaka hata sasa Anaweza kumuinulia mtu wa kumsaidia hata kama si Rais Samia na akapelekwa hata Uingereza, hivyo kumtegemea YEYE Ndiyo point ya msingi kuliko kuwanyooshea watu vidole kwani hata mimi na wewe pia ni wajibu wetu...
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kwanza, Mimi si mgonjwa ushindwe kwa JINA LA YESU. Mbili mimi ni mwanajamii siko upande wa chama chochote hivyo usinilazimishe kuwatukana CCM wala CHADEMA. Tatu, nitoe pole kwa huyo mgonjwa naamini MUNGU Atafanya njia kwa wakati wake. Nne laana isiyo na sababu haimpati mtu NENO LA MUNGU...
  6. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Hapana ndugu yangu, sote tu watu wa taifa la Tanzania. #uzalendokwanza
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Asante sana kwa kuunga mkono hoja ndugu yangu
  8. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Wanayo kwenye Sura ya Nne: Sayansi, Teknolojia na Ubunifu pia wameelezea haya ila kwa mfano kwenye kipengele cha kuwapeleka watanzania nje ya nchi kusomea masuala haya wametaja tu kwenye vyuo bora duniani hawakuwa specific ni kwenye taifa au mataifa yapi ili tufanye tathmini ya hapa na pale...
  9. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Ni kweli japo CCM kwa advantage ya kuwa madarakani tayari nyingi zimeshatekelezeka, imenipasa kupitia ya Chama Kikuu cha Upinzani kwa sababu muda wa Ilani hii unakwenda ukingoni ikiwa haijatekelezeka hivyo nimeona niokote madini tusije kujikuta kama taifa tumeyatupa kwenye dustbin.
  10. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Mbona umeshangaa?
  11. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Mimi sijui kuhusu msimamo wa chama chochote kile, najua kuhusu MSIMAMO WA TANZANIA NA WATANZANIA; tunataka maendeleo tena maendeleo makubwa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Mimi sijui
  13. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA; kwa hili mnastahili maua yenu

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, ninapenda kuzungumzia kipengele kimoja kilichonivutia zaidi katika Ilani ya mwaka 2020-2025 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA); Sura ya 16, Kifungu namba 16.1 Kipengele b (Ukurasa wa 95) ambacho kinasema: "Katika kutimiza azma ya kujiendeleza...
  14. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CHADEMA wameogopa kuingiza timu uwanjani uchaguzi mkuu

    Yaani wananchi wanaotakiwa wao ndio wapelekewe misaada na vyama vya siasa, inakuwa vise versa halafu unasema wanajenga uaminifu kwa njia hii? Tuwaonee huruma jamani.
  15. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA; baada ya tamko la kutoshiriki Uchaguzi Mkuu, fanyeni haya

    Tatizo ni vyama vya siasa vimewekeza kwenye maneno makali, lugha zisizofaa, kuhamasisha vitendo hasi, n.k. wakidhani kuwa ndiyo njia ya kuchukua madaraka kutoka kwa CCM au wakidhani kuwa ndiyo njia ya kuwabadilisha CCM, katiba na mifumo ya utawala jambo ambalo ni BIG NO! Siasa za vitendo...
Back
Top Bottom