Recent content by neema kelvin

  1. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Kakata mawasiliano na mimi kisa kumwambia aache kuchati na msichana mwingine

    Habari zenu wakuu. Nina mchumba wangu anapenda sana kuchat wassap na msichana nikimuuliza anasema ni rafiki yake wa muda. Cha ajabu wanatumiana picha za ajabu. Wakati sina mimba aliongea na huyo dada wakate mawasiliano na kweli walikata. Sasa hivi nina mimba yake kazidisha kuchat na huyo dada...
  2. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri wenu kuhusu kozi hii

    Duh kweli watu mna mda tena mwing sana
  3. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje majina ya kusaini mkopo yanakuja chuo wengine hatupo?

    Wakuu naombeni ushauri wenu mi ni first yr ruco leo majina ya kusaini mkopo yamekuja ila jinalangu halipo.naombeni anaye jua kuhusu hili jambo anisaidie. au ndo kuna sec batch
  4. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje majina ya kusaini mkopo yanakuja chuo wengine hatupo?

    Wakuu naomben kujua leo majina ya mkopo yamekuja chuoni kwetu ila jina langu halipo. Hapo ninafanyaje msaada wenu tafadhali.
  5. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania HESLB wameanza kupokea appeals

    Wakuu naombeni kujua iv nikiapeal nanyanganywa na nilichonacho in case nikikosa
  6. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Nimepata chuo na mkopo lakini nimenyimwa ruhusa kazini nifanyaje ?

    Watu mnapenda complicate mambo unge mwomba ruhusa mapema saiv ungejua moja. We unaaply mkopo na unapewa 90% huku bos anakubania thn huku wengine wanalia hawajapata mkopo. Binadamu bwana !
  7. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania List ya transfer za degree mbali mbali

    Weka jina lako
  8. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Taratibu za ku-appeal (HESLB) 2014/2015

    dah kuna watu wanaakili ndogo kama nukta
  9. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Msaada: Application form was not submitted

    Hahah wazeee bwana siangeuliza masaada.anyway peleka natumain watamsaidia
  10. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Waliopata mikopo HESLB 2014/15

    Msaada s0207/0071/2008
  11. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Help plz S0207/0071/2008
  12. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Hahaha mbn umeshtuka wait wamwakajana ili kuwa ivyo kwa tetes nilizo sikia tusubiri tupo pamoja
  13. neema kelvin

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali

    Wait sec round
Back
Top Bottom