Recent content by Neema Deogratias

  1. N

    JamiiForums Tanzania Sio kila Mhaya ana dharau

    Mm ninaamini kwamba makabila yote yanadharau na hii inatokana na mtu mwenyewe. Mm nimekaa na msukuma, nikiwaeleza alivyo mtashangaa. Mhaya hana dharau sema mmeshajiwekea hiyo na haitowasaidia. Dharau, kiburi, kujisifu ni mjitabia ya mtu by nature. Tupo pamoja?
Back
Top Bottom