Recent content by Nebula

  1. N

    TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    EXCELLENT,GOALS ACHIEVED Amerudi kaomba radhi. alpha1,umetumia falsafa gani hadi jamaa karudi? Ni kweli jamaa ana mawazo mazuri na mchango mkubwa sana kwa JF ila ni muathirika wa negative attitude kwa watu wanaofanya asiyoyatarajia yeye. Siyo kwamba aliteleza, ni mzoefu. Angalia post #5...
  2. N

    TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    Mimi sikuwa member wa JF, ila baada ya kusoma huu uzi, hasa kauli ya MKL post #2 aliyotoa kwa muanzisha uzi na jina alilowabatiza waliochaguliwa TCU 4th round la makapi, nilihisi nachomwa na kitu moyoni nikalazimika kujisajili JF ili nami nipunguze machungu yangu. Huyu MKL kama kweli ni...
  3. N

    TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    Hebu tujiulize,nini lilikuwa lengo la TCU kutangaza 4th round appl? Lilikuwa kudahili waombaji kujiunga na elimu ya juu au ni kutafuta makapi? Ya kazi gani? Hayo makapi hayakuomba yenyewe ila yaliitikia wito wa tangazo la TCU yatume maombi kama mojawapo ya taratibu za TCU kudahili waombaji...
  4. N

    Kujamiana kipindi cha hedhi kwa mwanamke!

    Sasa angeenda kupata wapi msaada? Bora hivyo kuliko nyumba ndogo au madada poa,maana ni bora kuzoa uchafu kuliko UK..,KSWND,KSNN nk Imeandikwa: Mke hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mumewe na mume hana mamlaka juu ya mwili wake isipokuwa mkewe. Pia msinyimane.
  5. N

    TCU 4th ROUND: HIVI NI KWELI KUNA CONNECTION YOYOTE KATI YA TCU,BODI NA CHUO?

    Kumbe TCU siku hizi wanapeleka makapi vyuo vikuu? Ni majambele au majanyuma? Tutegemee nn toka kwa hayo makapi? TCU mko wapi mjibu hili? Ahahaaaaa!! Mmechafuka. Yewe, Mutama ulabhonye?
  6. N

    Msaada wadau kuhusu open unv of tz

    Mmmmmhhh! Hii nayo kali ya mwk.
Back
Top Bottom