Brother zero.apo umekuwa zero kabisa.ukweli hukuweka mtu huru.unge mwambia kama humuitaji . just to think kama mama yako au dada yako angeweza kufanyiwa hivyo.kama angekubali kukutumia hizo picha .
Hilo ndilo kosa la watu wengi wanakuaga hawapendi bali hutamani na matamanio yao yakiisha huanza kuleta tabu kwa waenza wao.so be careful in your relation wenda ulitamaniwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.