I am not sure if you know your role in this society. You are a leader in a very strong oppossition party.....! You r agressive yes....but unafanya nn au contribution yako ni nn ktk kutibu hii kansa.
Inaonekana unauelewa mzuri sana wa huu ugonjwa...ss as a leader which role have you played in...
Wewe ndo tukushangae zaidi......hapa tulipo fikia hata km unamawazo mazuri namna gani km hayapo kwenye ile rasimu hayawezi kuchukuliwa tena. Muda wa kukusanya maoni ulisha pita. Ss tuko kwenye mchakato wa kuunda baraza la katiba litakalo jadili yale yaliyomo kwenye rasimu....upo?
Huyu bwana sio wa kumpuuza katoa contribution ya maana sana. Two things;
1) Mikutano inakuwa mifupi sana, hampati muda wa kutosha kutoa elimu ya uraia na sera za chama.
2) Kwa nn chama kisitumie vipindi vya television na redio kutekeleza hayo yaliyo semwa hapo juu rather than using kukodi...
Naunga mkono hoja. Nchi haiwezi kuwa vitani halafu ikaendesha uchaguzi...the same kwenye chama. Kosa kubwa CDM watakalo fanya ni kufanya uchaguzi mkuu kabla ya November 2015. Keep the momentum n continue plying the tight marking..
Kwa nn huo mkataba usiwekwe wazi kwa public.. kila mtanzani anayetaka akasoma kifungu kwa kifungu. Tuione hiyo hiyo 35/65 or 30/70 ambayo inaonekana hana uhakika nayo. Kwa nn mikata hiyo inafichwa....nn hataki wananchi tujue?!!
Mh......I doubt km Dr. Slaa ndo mwasisi wa neno FISADI. Mwasisi wa hili neno ni Sakina Datoo. Wakati ule akiwa The Citizine particularly makala zile za Sunday Citizen..na vile2 mwenyekiti wa jukwaa la habari...na nafikiri alielezea kwa nn aliamua kulitumia hilo neno. Baada ya hapo Dr ndio...
Sawa nikatwe kodi...lakini basi nikiugua nikienda hospital nipate vipimo vya kunipima japo kwa kulipia, dawa ziwepo hata km ni za kununua, mwanangu pale st kayumba asilipe kitu manake kodi ninayo katwa kwa mwezi nalipa mishahara ya waalimu km 3 with average salary ya Tshs 350, 000/, wale vibaka...
I think you r very right...Haiwezekani kesi ya high profile namna hiyo huyo Dilunga anataka kutuambia DPP hajaishirikisha serikali.... Tena lazima ijadiliwe ilikujua ina impact gani kwenye usalama wa nchi.... Guilty or not Guilty...I just doubt if they r guilty. Nakumbuka kabla ya kuwa engage...
Kasaini kisheria lakini km mswada haukidhi haja sheria inamruhusu raisi kukataa kusign na kuurudisha bungeni. Binafsi hoja zilizotolewa za kutokusign ni za msingi sana. Sikutegemea km mtu unaweza kuzipuuza hivyo. Remember what happened in Kenya...President Emilio Mwai Kibaki kwenye sakata la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.