Recent content by Ndwate

  1. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi?

    Nimeona humu jamii forum atakuwa mgeni rasmi siku ya kilele cha sikukuu ya wakulima nanenane Mbeya.
  2. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Shekhe Basaleh Afariki Dunia. Aliitetea vyema imani akiwa mwanzuoni

    Shekh wa alijebra. Familia, waumini na Watanzania muwe na subra katika kipindi hiki cha msiba.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

    Analolisema kwa Zanzibar hilo hilo aliseme kwa Tanganyika. What goes around comes around.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Othman Masoud: Tumeambiwa Bunge la Katiba linarejea septemba mwaka huu, Zanzibar yenye mamlaka kamili yanukia

    Anahangaika zaidi na uwenyeji wa duniani badala ya kuangalia ule wa mbinguni ambao umri wake umemsaidia kuweka huo ukweli wazi.
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa Idara ya Usalama wa Taifa kuwa na Tovuti yake Itayosaidia Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa kwa ulinzi wa Taifa letu

    Sponsor atoe fungu hili lifanyike kama si kuduplicate mifumo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwanza ni seme mimi Ndwate ni mpitaji tu kwenye huu mtandao wa kijamii kama msomaji. Kilichonifanya nijiunge leo kama mshiriki mwanachama kwa kuandika maoni, ni jambo la huyu bwana ndg mmoja niloyekutana naye leo kwenye kashamba bustani kangu akihitaji nazi katika mnazi mmoja tu ulio ndani ya...
Back
Top Bottom